Description :
KARIBU, TUNAZOBULB CAMERA ZITAKAZOKUWEZESHA:
*kuangalia biashara yako kupitia simu yako popote ulipo, pia inaweza kurecord kwenye memory card ukatizama matukio badae.
*unaweza kuongea na watu waliokaribu na camera!
*Camera ina motion sensor na pia inaona nyuzi 360,
Tupo dar es salaam, ilala, mikoa yote pia tunatuma!
Wasiliana nasi kwa namba zilizopo apo kwenye link.