Web Design and Re-design Service + FREE Demo Home-page Design.

Web Design and Re-design Service + FREE Demo Home-page Design. - Tanzania
  • Web Design and Re-design Service + FREE Demo Home-page Design. - Tanzania
Description :

Hellooow!

Ni Kwa Mara Nyingine Tena, nimekuja na huduma ya Kutengeneza Website, na Safari HII! Nimekuja na OFA ISIYO EPUKIKA….

Kwa mtu yeyote ambaye anatamani Kutengeneza Website kwa ajili ya Kampuni, Biashara yake au Chochote kile.

Leo ninatoa Ofa ya Ku-kutengenezea Website Page Moja tu ya Mfano BURE Kabisa!, na ujionee japo kidogo namna ambavyo naweza ku-kutengenezea Website Nzuri, ya Kisasa,yenye Mvuto na ya Kitaalam.

Kama utahitaji Ofa Hii Basi, andaa vitu hivi viwili tu.
=> Logo.
=> Kuhusu Unachofanya.

Inaweza kunichukua kama masaa 3 tu, kumaliza Hiyo Demo Page. Ila kama nitakuwa busy kidogo inaweza kunichukua masaa 12 mpaka 48 kuwasilisha Ofa yako, si unajua tena wenye pesa wana nguvu.

Ila tu nikuahidi kwamba nitajitahidi kufanya kazi yenye kiwango chake

Kumbuka: Siyo Rahisi kabisa, kupata Ofa kama Hii, na yote ni kwa-sababu kutengeneza website sio kazi ya ndogo kabisa. Kwahiyo basi Isikupite Hii, na pia Sitatoa Ofa hii siku Zote.

Nia yangu mimi ni kuwasaidia watu kunufaika na ulimwengu wa Ki-digitali katika Shughuli wanazofanya.

Sasa, cha kufanya ili kunipata kwa urahisi zaidi nitumie ujumbe kupitia Whatsapp

Erick Ngimba,
Digital Marketer.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Avoid at all costs paying the entire service before the service is actually entirely performed.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • When possible, try to collect feedback from previous customers.
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Make sure you understand financial implications related to the service.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data