Description :
Pump imara kabisa za kuvuta maji kutoka kwenye visima vyembamba, vipana, kujaza maji kwenye matenki, kusambazia maji mashambani, migodini, zipo zinazofaa hata katika vimiminika vyenye joto! bei zetu ni nafuu kabisa karibu sana