Transaction Typesell
Area1055 m2
⚫Wahi sasa kuwekeza Vigwaza maana bandari kavu zote zinajengwa huko.
⚫Mradi huu upo karibu na bandari kavu inayojengwa ya Kwala.
⚫Bei zetu ni za punguzo yaani 2,000/SQM.
⚫Unaweza lipa cash au kwa installment.
⚫Mradi upo Kilometres 6 kutoka Vigwaza Mizani.
⚫Njoo tukupeleke site ukajionee,maana site tunaenda kila siku.
⚫Miradi mingine tulonayo ipo Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe, Mapinga Beach Plots Bagamoyo, Sofu Kibaha Picha ya Ndege, Mbutu Beach Plots Kigamboni,Cheka Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale...Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Kitelela, Mahoma Makulu,Nala Chihoni, Ihumwa, Iyumbu.