Transaction Typesell
Area400 m2
⚫Ni viwanja vizuri kwa makazi.
⚫Viwanja vipo km4 toka Maghorofa ya dege.
⚫Viwanja vimeshapimwa tayari kupata hati.
⚫Bei cash ni 14,000/SQM na kwa mkopo ni 16,000/SQM.
⚫Lipia kidogo kidogo mpaka unamaliza.
⚫ Kutembelea site ni kila siku na hakuna kuchajiwa.
⚫ Viwanja bei Vinaanzia million 5
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali.
⚫Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Cheka Kigamboni, Mwongozo,Pangani Kibaha, Misugusugu Kibaha,Bunju Mji mpya,Madale, Goba, Vikawe Kimele Baobab, Vikawe Mpiji, Vigwaza....Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu,Mtumba, Vikonje B kwa mzungu, Kitelela,Mahoma Makulu, Chidachi, Iyumbu, Ihumwa, Nala Ringroad, Nala Chihoni.
⚫Ofisi zetu Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall.
⚫Karibu umiliki kiwanja chako sasa.