Viwanja Vya Makazi Vilivyopimwa Vinauzwa Madale

Viwanja Vya Makazi Vilivyopimwa Vinauzwa Madale - Tanzania
Viwanja Vya Makazi Vilivyopimwa Vinauzwa Madale - Tanzania
  • Viwanja Vya Makazi Vilivyopimwa Vinauzwa Madale - Tanzania
  • Viwanja Vya Makazi Vilivyopimwa Vinauzwa Madale - Tanzania

Transaction Typesell

Area484 m2

Description :

⚫Ni viwanja vizuri Kwa makazi na biashara.
⚫ Viwanja vipo wilaya ya Kinondoni
⚫Vipo karibu na Shule ya Atlas madale campus.
⚫Huduma zote za kijamii zipo site.
⚫Bei yetu cash ni 33,000/SQM kwa installment bei 35,000/SQM.
⚫ Viwanja vimepimwa tayari na vipo tayari kwa hati.
⚫ Viwanja vipo umbali wa km 1.5 kutoka Barabara ya Goba Madale
⚫Kutembelea site ni kila siku na ni bure.
⚫Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Bunju Mji mpya, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Mbutu Kigamboni, Vigwaza, Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Mapinga Bagamoyo, Vikawe-Kimele Baobab...Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Itega, Iyumbu, Msalato Airport, Kitelela, Mahoma Makulu, Chahwa, Nala Chihoni, Chidachi, Njedengwa, Vikonje B, Nala Ringroad.
⚫ Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall, Karibu

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data