Viwanja vya Makazi na biashara Kibaha Pangani

Viwanja vya Makazi na biashara Kibaha Pangani - Tanzania
Viwanja vya Makazi na biashara Kibaha Pangani - Tanzania
 • Viwanja vya Makazi na biashara Kibaha Pangani - Tanzania
 • Viwanja vya Makazi na biashara Kibaha Pangani - Tanzania

Transaction Typesell

Area505 m2

Description :

Ni viwanja vinavyouzwa na Property Investors Company,vina sifa:
✅Vipo km5 toka Morogoro road.
✅Vipo karibu na machinjio ya Kibaha.
✅Viwanja vimepimwa tayari kwa hati.
✅Vipo km1.5 toka Barabara iendayo vikawe na Bagamoyo.
✅ Viwanja Vinaanzia million 5 na vipo vya ukubwa mbalimbali.
✅Huduma zote za kijamii zishafika site.
✅Malipo ni cash au kwa Installment.
✅Site visit ni kila siku.
✅Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Misugusugu Kibaha, Vikawe Kimele Baobab,Vikawe mpiji, Vigwaza,Goba Kulangwa,Bunju,Madale Mivumoni, Mbutu Kigamboni,Cheka,Chekeni MwasongaMwongozo...Dodoma pia tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Kitelela, Mahoma Makulu, Iyumbu,Mtumba, Msalato,Chahwa,Nala Lugala,Nala Ringroad.
✅Ofisi zetu Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data