Transaction Typesell
Area557 m2
🔥VIWANJA VIZURI KWA MAKAZI MISUGUSUGU KIBAHA VINAUZWA 🔥
📌Ni Viwanja Vizuri vinavyofaa Kwa Makazi
📌Vipo karibu na shule ya msingi Misugusugu.
📌Viwanja vipo km 2 toka morogoro road
📌Huduma za kijamii zimeshafika na Barabara inapitika Kwa kipindi chote.
📌Malipo Kwa awamu ni hadi miezi 6.
📌Viwanja vimeshapimwa tayari kupata Hati toka Wizarani
📌Site tunaenda kila siku hakuna charge.
📌Vipo vya ukubwa mbali mbali kuanzia SQM 278(18 Kwa 16) Hadi SQM (34 Kwa 21)
Bei:
📌Cash Tzs 8,500 kwa sqm na Kwa Installment ni 9,500 kwa sqm
📌Viwanja vinaanzia milioni 2.5
📌Unaweza fika ofisi zetu zilizopo nyuma ya Ubungo plaza, Katambe Street opposite na kanisa la Anglikana