Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii

Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii - Tanzania
Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii - Tanzania
Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii - Tanzania
 • Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii - Tanzania
 • Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii - Tanzania
 • Viwanja Vizuri Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Ii - Tanzania

Transaction Typesell

Area400 m2

Description :

Mradi mpya!!
kigamboni - kisarawe ii - kigogo.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-mradi upo karibu na uwanja wa yanga,kiwanda cha maji cha afya na dar es salaam zoo.
-umbali ni 3km kutoka barabara ya lami na 10m kutoka barabara kuu.
-huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana kwa ukaribu.
-neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi.
-viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.
-bei ni 20,000 kwa square meter moja.
-hati utapewa baada ya kumaliza malipo.
njia za malipo.
mteja unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#site visit ni kila siku karibuni sana

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data