Transaction Typesell
Area1000 m2
Mradi mpya!!
kigamboni - kibada.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-umbali ni 500m kutoka barabara ya lami.
-viwanja vimepimwa.
-barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-huduma zote za kijamii zinapatikana.
-ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-bei ni tshs milion 45 square meter moja 1200 na milion 40 kwa square meter 935.
-hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
malipo
unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 70 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#site visit ni kila siku.
contact: