Transaction Typesell
Area400 m2
Description :
Mradi mpya!!!
goba kwa awadhi
-ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana.
-ni karibu na shule ya capstone karibu pia na sheli ya mchigani.
-umbali ni 600m kutoka barabara ya lami.
-viwanja vimepimwa.
-neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-huduma zote za kijamii zinapatikana.
-bei yake ni 45,000 kwa square meter moja.
-ni mahali pakununua na kujenga sasa.
njia za malipo
unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3.
#site visit ni kila siku.
contact: