Transaction Typesell
Area700 m2
Description :
Mradi mpya!!
bagamoyo - mapinga
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-umbali ni 300m kutoka barabara ya lami.
-huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana kwa karibu sana.
-neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi.
-viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.
-bei ni 30,000 kwa square meter.
-ukimaliza malipo unapewa hati.
njia za malipo.
mteja unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo.
#site visit ni kila siku.
karibuni sana 🙏