Viwanja Vizuri Tambarare_vikindu

Viwanja Vizuri Tambarare_vikindu - Tanzania

  • Viwanja Vizuri Tambarare_vikindu - Tanzania

Transaction Typesell

Area208 m2

Description :

JE WEWE UNAHITAJI KIWANJA KIZURI KWA BEI NAFUU...!!! kama jibu ni ndiyo basi njoo ujipatie fursa hii mapema ya VIWANJA vilivyopo VIKINDU KWA MTOPA(karibu na kiwanda cha plastic).

•Ardhi ni tambarare...haititii...haifikiwi na maji kupindi cha masika.

•Umeme upo viwanjani na tayari unawaka.

•Maji yapo karibu mno.

•Usafiri upo kutoka stendi ya vikindu unapanda gari moja tu kwenda mbagala,Kariakoo,Temeke n.k

•Shule ipo karibu.

•Hospital ipo karibu.

•Ukubwa wa viwanja vyetu ni ft 50 kwa ft 40 sawa na Mita 16 kwa 14

•Bei ni Tsh.milioni moja na laki nane tu hiyo inajumuhisha upatikanaji wa hati ya mauziano(hati ya awali) na inakuwa chini yetu.

•Malipo ni kwa awamu mbili endapo utashindwa kulipa Cash

•Siku ya kupeleka wateja kuona site zetu ni J.mosi na J.pili bure kabisa ukiridhika unafanya malipo baada ya kuviona viwanja hivyo.

TUWASILIANE kwa meseji au kutupigia kwa namba hii 0747141871

Ama kwa WhatsApp tumia namba hii
br/>
UAMINIFU NDIO DIRA YETU DAIMA..!!

KARIBU SANA..!!

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data