Transaction Typesell
Area517 m2
Viwanja hivi vinapatikana pangani kibaha:
✓ni viwanja vizuri na vya kuvutia kwa ajili ya makazi.
✓vippo karibu na soko la loliondo.
✓vipo karibu na stand kuu ya mabus ya maili moja.
✓vipo umbali wa 2.5 km kutoka morogoro road
✓vipo karibu na barabara inayounganisha kibaha na vikawe.
✓viwanja vimepimwa na vina hati.
✓bei yake ni [email protected]
✓malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓kutembelea site ni kila siku ya jumatatu hadi jumamosi na ni bure kabisa.
✓tuna miradi ya viwanja vingine maeneo ya bunju, madale, kisota,cheka,mbutu, vikawe misugusugu, mwasonga, na kwa dodoma maeneo ya kitelela, nala, chamwino, chahwa, mtumba, ihumwa, iyumbu, itega, mahoma makulu.
✓ofisi zetu kwa dar es salaam zinapatikana nyuma ya ubungo plaza, na kwa dodoma tupo capital city mall.
karibuni sana.