Transaction Typesell
Area500 m2
⚫Huu ni Mradi mpya wa viwanja.
⚫Bei ni ya chini yaani 2,500 kwa square meter moja.
⚫ Viwanja hivi Vipo jirani na kinapojengwa chuo cha IFM Dodoma
⚫⚫Viwanja Vipo umbali wa Kilometre 4 kutoka
Singida road na Kilometres 15 toka Dodoma mjini.
⚫Vinaanzia square meter 400(20 kwa 20) na kuendelea.
⚫Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati
⚫Malipo ni kidogo kidogo mpaka umalize
⚫Huduma zote za kijamii zipo site,maji,umeme, Barabara.
⚫Tuna miradi mingine DODOMA maeneo ya Nala Chihonda, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu, Chamwino Ikulu, Mtumba,Itega...Dar es Salaam tuna miradi maeneo ya Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga,Mbutu Beach Plot Kigamboni.... Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha,Vikawe, Mapinga Bagamoyo, Vigwaza...