Transaction Typesell
Area268 m2
⚫Wahi sasa kumiliki kiwanja Kibaha,maana ni sehemu inayokua kwa kasi.
⚫Viwanja hivi vipo pembezoni mwa Morogoro road.
⚫Eneo ni zuri na tambarare kwa ujenzi wa makazi,biashara.
⚫ Miundombinu yote muhimu imeshafika site.
⚫Unaweza lipia cash au kwa installment.
⚫Viwanja vipo karibu na checkpoint ofisi za wakala wa vipimo.
⚫Bei yetu ni 8,000 kwa square meter moja.
⚫Site visit ni kila siku.
⚫Tuna viwanja maeneo mengine ya Sofu Picha ya Ndege, Pangani Kibaha, Vigwaza, Mapinga Bagamoyo, Mbutu Kigamboni, Kisota Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni..Dodoma maeneo ya Nala Lugala, Iyumbu, Kitelela, Mahoma Makulu, Chamwino, Msalato Airport.