Transaction Typesell
Area506 m2
Viwanja vinauzwa madale mivumoni, karibu ujipatie chako mapema:
✓ni viwanja vizuri na vya kuvutia kwa ajili ya makazi
✓viwanja vipo karibu na shule ya atlas
✓vipo umbali wa 1.5 km kutoka main road.
✓vimebaki vichache vya 539 sqm, 506 sqm, 511 sqm na 605 sqm....
✓viwanja vimepimwa na vina hati.
✓bei yake ni 37,[email protected]
✓malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
✓tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya bunju, kisota,cheka,mbutu, vikawe misugusugu, mwasonga, na kwa dodoma maeneo ya kitelela, nala, chamwino, chahwa, mtumba, ihumwa, iyumbu, itega, mahoma makulu.
ofisi zetu kwa dar es salaam zinapatikana nyuma ya ubungo plaza, na kwa dodoma tupo capital city mall.
karibuni sana