VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO

VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO - Tanzania
VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO - Tanzania
  • VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO - Tanzania
  • VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO - Tanzania

Transaction Typesell

Area500 m2

Description :

COLDWELL PROPERTY LIMITED ni wauzaji na wakopeshaji wa viwanja na mashamba bila riba wala dhamana.
MRADI MPYA!! KIGAMBONI VUMILIA UKOONI(Mwembe Mdogo)
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 18km toka Kigamboni Ferry na 1.5km toka main road(Kimbiji road)
-Viwanja vimepimwa na vina beacon kabisa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei ni Tshs 15,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa ndani ya mwezi mmoja baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 5 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni kila Jumamosi.
Ofisi zetu zipo Mabibo Mwisho jirani na Stendi ya Daladala.
Contact:

KARIBUNI SANA

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data