Viwanja Vinauzwa (kigamboni Buyuni)

Viwanja Vinauzwa (kigamboni Buyuni) - Tanzania
  • Viwanja Vinauzwa (kigamboni Buyuni) - Tanzania

Transaction Typesell

Area704 m2

Description :

-tunapokea malipo ya cash na awamu kwa miezi sita
-eneo lipo umbali wa mita 700 kutoka baharini
-bei ya viwanja inaanzia 3.8 milioni mpaka 4.5 milioni. Kutokana na ukubwa wa kiwanja husika.
-huduma zote za kijami zinapatikana katika eneo la mradi. Kama maji, umeme na barabara.
-kutembelea site ni kila jumamosi au kwa makubaliano kati ya kampuni na mteja.
-viwanja vyote vimepangwa na kupimwa.
-umbali wa kutoka eneo la ferry mbaka eneo la mradi ni 48 km.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data