Transaction Typesell
Area915 m2
⚫ Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati.
⚫Bei ni ya punguzo yaani 10,000 kwa square meter moja.
⚫ Viwanja hivi Vipo karibu na soko la Mnadani Loliondo.
⚫Pia Viwanja vipo jirani na stand kuu ya mabus ya Maili moja.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Umbali kutoka ilipo Barabara ya Morogoro hadi vilipo Viwanja ni Kilometre 2.5
⚫Vipo vya ukubwa tofauti tofauti.
⚫Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Mbutu Beach Plot Kigamboni, Mapinga Beach Plot Bagamoyo, Misugusugu Kibaha, Sofu Picha ya Ndege Kibaha, Vigwaza, Kisota Kigamboni, Chekeni Mwasonga,Cheka Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni...Dodoma tuna Viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu,Nala Chihoni, Itega.