Viwanja Vinauzwa Dodoma Karibu Na Mradi Mkubwa WA Barabara

Viwanja Vinauzwa Dodoma Karibu Na Mradi Mkubwa WA Barabara - Tanzania
Viwanja Vinauzwa Dodoma Karibu Na Mradi Mkubwa WA Barabara - Tanzania
 • Viwanja Vinauzwa Dodoma Karibu Na Mradi Mkubwa WA Barabara - Tanzania
 • Viwanja Vinauzwa Dodoma Karibu Na Mradi Mkubwa WA Barabara - Tanzania

Transaction Typesell

Area800 m2

Description :

⚫Hii ni Barabara ya mzunguko inayoendelea kujengwa kwa ufanisi Mkubwa hapa Dodoma, Barabara hii inauzunguka Mji mzima Kwa Barabara kubwa ya Mita 150.
⚫Property Investors Company (PIC) tunauza Viwanja vya Makazi, Biashara na taasisi jirani na eneo hili Kwa gharama nafuu Sana.
⚫Maeneo ya Kitelela,Vyeyula,Nala Ringroad,Nala Chihoni, Matumbulu na Mahoma Makulu.
⚫Bei ni kuanzia Million 4 cash, na Million 5 Kwa installment.
⚫Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati.
⚫Site visit ni kila siku.
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Itega, Iyumbu, Msalato Airport,Chahwa, Chidachi, Njedengwa,Vikonje B.Kwa Dar es Salaam tuna miradi maeneo ya Mbutu Kigamboni, Kisota Kigamboni,Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga.. Misugusugu Kibaha, Vigwaza, Mapinga Bagamoyo, Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya.
⚫ Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma zipo Capital City Mall.
⚫Karibu tukuhudumie

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data