Transaction Typesell
Area564 m2
Viwanja vinauzwa na Property Investors Company, vina sifa zifuatazo:
⚫ Viwanja vipo km 2 kutoka Bunju.
⚫Pia mradi upo km 3 toka Bagamoyo (Baobab) njia ya kwenda Kibaha.
⚫Malipo ni cash au Kwa awamu.
⚫Bei Vinaanzia million 10.
⚫Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi na biashara.
⚫Viwanja vimepimwa tayari Kwa hati.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali.
⚫Lipia kidogo kidogo mpaka unamaliza.
⚫ Kutembelea site ni kila siku na hakuna kuchajiwa.
⚫Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Mbutu Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mwongozo,Pangani Kibaha, Misugusugu Kibaha,Madale, Goba, Bunju, Vikawe Mpiji, Vigwaza....Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu,Mtumba, Vikonje B kwa mzungu, Kitelela,Mahoma Makulu, Chidachi, Iyumbu, Ihumwa, Nala Ringroad, Nala Chihoni.
⚫Ofisi zetu Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall.
⚫Karibu umiliki kiwanja chako sasa.