Transaction Typesell
Area376 m2
Property Investors Company inakuletea offer ya Viwanja kwa kipindi hichi cha Sikukuu eneo la Misugusugu Kibaha vyenye sifa:
⚫ Viwanja vilivyopimwa tayari Kwa kupata hati.
⚫Vipo karibu na checkpoint ofisi za wakala wa vipimo.
⚫Vipo km3 toka Morogoro road.
⚫Eneo ni zuri kwa makazi na biashara.
⚫ Viwanja Vinaanzia million 2.5
⚫ Unaweza lipa cash ama kwa installment ya mpaka mienzi 12.
⚫Tuna Miradi mingine ya Viwanja maeneo kama Vikawe Kimele- Baobab,Vikawe Mpiji, Vigwaza Kwala, Pangani Loliondo Kibaha,Bunju, Madale,Mbutu Kigamboni,Cheka,Mwasonga Kigamboni...Dodoma maeneo ya Chahwa,Kitelela, Mahoma Makulu,Kisesa,Mtumba,Chamwino Ikulu, Nala Ringroad,Nala Chihoni.
⚫Ofisi zetu kwa Dar zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital city mall.
⚫WAHI SASA OFA HII