Viwanja Vikawe-Kimele (Baobab) Vinauzwa

Viwanja Vikawe-Kimele (Baobab) Vinauzwa - Tanzania
Viwanja Vikawe-Kimele (Baobab) Vinauzwa - Tanzania
  • Viwanja Vikawe-Kimele (Baobab) Vinauzwa - Tanzania
  • Viwanja Vikawe-Kimele (Baobab) Vinauzwa - Tanzania

Transaction Typesell

Area650 m2

Description :

⚫Ni Viwanja vizuri Kwa ajili ya Makazi.
⚫ Huduma zote za kijamii zipo karibu na mradi.
⚫Vipo umbali wa km 3 kutoka Bagamoyo road,na Vipo Barabara iendayo Kibaha kutokea Baobab shule.
⚫Bei ni 20,000/SQM
⚫Vinaanzia ukubwa wa SQM 650(30 Kwa 20)
⚫Lipa Kwa awamu Hadi miezi 4
⚫Malipo ni kidogo kidogo mpaka uimalize,Viwanja vimepimwa na vina hati.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Mapinga Bagamoyo,Vigwaza Pwani, Misugusugu Kibaha, Madale Mivumoni,Bunju Mji mpya, Kisota Kigamboni,Mbutu,Chekeni Mwasonga,Cheka...Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Itega, Iyumbu, Msalato Airport, Chahwa, Chidachi, Njedengwa, Vikonje B,Nala Ringroad,Nala Lugala,Nala Chihoni, Matumbulu na Mahoma Makulu.
⚫Karibu Sana Ofisi zetu Kwa Date es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data