Transaction Typesell
Area931 m2
Viwanja Vinauzwa na Property Investors Company,vipo Vigwaza Kwala Mlandizi vina sifa zifuatazo:
⚫Vipo km6 toka Vigwaza Mizani njia iendayo bandari kavu ya Kwala.
⚫ Viwanja vimeshapimwa tayari kupata hati.
⚫ Huduma za kijamii zimeshafika site.
⚫Unaweza lipia cash au kwa awamu mpaka mwaka.
⚫ Viwanja bei Vinaanzia million 1.6
⚫Tuna Viwanja maeneo mengine kama Pangani Kibaha, Misugusugu Kibaha,Vikawe Kimele Baobab,Vikawe mpiji,Goba,Bunju,Madale Mivumoni, Mbutu Kigamboni, Mwongozo Kigamboni,Cheka Kigamboni.Dodoma tuna Viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu,Mtumba, Mahoma Makulu, Kitelela, Chahwa, Iyumbu,Nala Ringroad,Nala Chihoni.
⚫ Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo na Dodoma tupo Capital City Mall.