Transaction Typesell
Area651 m2
Description :
✓viwanja vipi njia panda ya bagamoyo karibu na jengo la nida.
✓vipo karibu na soko la loliondo.
✓umbali ni 2.5 km kutoka morogoro road.
✓vipo karibu na barabara inayounganisha kibaha na vikawe
✓bei yake ni [email protected]
✓malipo ni cash au unaweza lipa kwa awamu.
✓vipo viwanja vingi vya ukubwa mbalimbali.
✓viwanja vimepimwa na vina hati
✓site visit ni kila siku na hakuna gharama.
✓ofisi zetu kwa dar es salaam zipo nyuma ya ubungo plaza.