Transaction Typesell
Area500 m2
Description :
⚫ni viwanja vizuri na vya kuvutia kwa ajili ya makazi.
⚫vipo upande wa bahari na vimeface mikoko.
⚫bei ni 15,000/sqm
⚫vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia sqm 284
⚫malipo ni kwa cash au unalipa kwa awamu.
⚫site visit ni kila siku na ni bure.
⚫viwanja vimepimwa na vina hati
⚫tuna miradi ya viwanja vingine maeneo ya bunju, madale, kisota,cheka,mbutu, vikawe misugusugu, mwasonga, na kwa dodoma maeneo ya kitelela, nala, chamwino, chahwa, mtumba, ihumwa, iyumbu, itega.