Transaction Typesell
Area531 m2
Ni Viwanja vya Makazi,Biashara na huduma za kijamii, Vinauzwa na Property Investors Company (PIC), Viwanja vina sifa zifuatazo: ⚫Viwanja vipo km1.5 kutoka Barabara ya lami. ⚫Viwanja vipo km3 toka Goba Center.
⚫Bei Vinaanzia million 20 Vipo vya ukubwa kuanzia SQM 492(25 Kwa 20) mpaka SQM 1,527(49 Kwa 37)
⚫Viwanja vishapimwa na utapata Hati toka Wizarani.
⚫Malipo ni cash au Kwa awamu ya mpaka mienzi 12.
⚫Huduma zote za kijamii zimeshafika Site tunatembelea kila siku
⚫Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha,Pangani Kibaha,Kerege, Vikawe Kimele Baobab,Vikawe Mpiji, Vigwaza,Mbutu Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mwongozo Kigamboni... Dodoma tuna Viwanja maeneo ya Chahwa, Vikonje B, Kitelela, Chamwino, Mtumba, Mahoma Makulu, Nala Chihoni, Nala Ringroad, Chidachi, Ihumwa. Kwa Mawasiliano zaidi fika ofisi zetu zilizopo nyuma ya Ubungo plaza, Katambe Street opposite na kanisa la KKKT