Transaction Typesell
Area300 m2
Description :
Property investors (pic) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #kigamboni
viwanja vyote vimepimwa ✅
viwanja vinaanzia 3.6 mil tu
eneo: amani gomvu (kigamboni)
(karibu na chuo cha afya)
umbali: 600mita kutoka barabara ya lami
ukubwa: 300sqm , 600 sqm
bei: 12,000 kwa sqm (cash)
au 15,000 kwa sqm (installment)
malipo ya instalment ni kitaratibu mpaka kwa miezi 9 bila riba
kwenda kuona site ni kila siku, bila gharama yeyote
kwa maelezo zaidi
ofisi zetu
ubungo plaza.