Transaction Typesell
Area660 m2
Description :
⚫viwanja vipo karibu na soko la loliondo.
⚫vipo karibu na stand kuu ya mabus ya maili moja.
⚫vipo umbali wa 2.5 km kutoka morogoro road.
⚫vipo karibu na barabara inayounganisha kibaha na vikawe
⚫bei ni [email protected]
⚫malipo ni cash au kwa awamu.
⚫viwanja vimepimwa na vina hati
⚫tuna miradi ya viwanja vingine maeneo ya bunju, madale, kisota,cheka,mbutu, vikawe misugusugu, mwasonga, na kwa dodoma maeneo ya kitelela, nala, chamwino, chahwa, mtumba, ihumwa, iyumbu, itega.