Transaction Typesell
Area505 m2
Description :
⚫Viwanja vipo km1.5 kutoka ilipo rami inayoenda Vikawe.
⚫Vipo karibu na Barabara inayounganisha Vikawe na Kibaha.
⚫ Viwanja vimepimwa tayari kwa hati.
⚫Ni eneo linalofaa kwa makazi na biashara.
⚫Umeme maji tayari vimeshafika site.
⚫Unaweza lipia cash au kwa mkopo wa mpaka miezi 12.
⚫ Viwanja bei Vinaanzia million 5.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 345 mpaka 818.
⚫Kwenda site ni kila siku hakuna gharama.
⚫Tuna Miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Misugusugu Kibaha, Vigwaza, Mbutu Kigamboni,Mwasonga, Mwongozo,Cheka, Vikawe Mpiji, Vikawe Kimele Baobab, Bunju, Madale Mivumoni.