Transaction Typesell
Area1377 m2
Viwanja vinauzwa na Property Investors Company Ltd, Iyumbu Dodoma:
⚫ Viwanja vipo Block E Ushuani
⚫Ni eneo lenye fursa Kwa Makazi na biashara
⚫Viwanja vipo vya ukubwa mbalimbali
⚫Unaweza lipia cash au Kwa awamu 3
⚫Viwanja vimeshapimwa tayari kupata hati
⚫ Huduma zote za kijamii zipo karibu
⚫ Viwanja vimeshapimwa tayari Kwa kupata Hati
⚫ Kutembelea site ni kila siku na hakuna kuchajiwa
⚫Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Chamwino Ikuli, Vikonje B Kwa Mzungu, Chidachi, Kitelela, Mahoma Makulu, Nala Chihoni,Chahwa, Iyumbu, Nala Ringroad.Dar es Salaam tuna Viwanja maeneo yaMbutu Kigamboni,Cheka Kigamboni, Mwongozo,Pangani Kibaha,Misugusugu Kibaha,Madale,Bunju,Vikawe Kimele(Baobab), Vikawe Mpiji,Vigwaza.Mwanza tuna Viwanja maeneo ya Kisesa.
⚫Ofisi zetu Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall.
⚫Karibu umiliki kiwanja chako sasa