Transaction Typesell
Area600 m2
⚫viwanja vipo sehemu nzuri sana,jirani na mradi wa nhc na jirani na chuo kikuu cha dodoma(udom).
⚫viwanja vimepimwa na vinafaa kwa matumizi ya biashara na makazi
⚫eneo la iyumbu lipo umbali wa km 8 kutoka city centre.
⚫ni eneo lenye makazi mazuri na mji mpya sana hapa dodoma
⚫eneo la iyumbu linapakana na bypass ya dar road
⚫viwanja vipo vichache wahi mapema.
⚫tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya chekeni mwasonga, kisota, mbutu,cheka, pangani kibaha, misugusugu kibaha, bunju a, madale mivumoni, vikawe na kwa dodoma tuna viwanja maeneo ya chamwino ikulu, mtumba, nala, itega, kitelela, chahwa, ihumwa.
karibu sana.