Viwanja Dodoma Iyumbu Au Ihumwa

Viwanja Dodoma Iyumbu Au Ihumwa  - Tanzania
  • Viwanja Dodoma Iyumbu Au Ihumwa  - Tanzania

Transaction Typesell

Area504 m2

Description :

Property Investors (pic) inatangaza uuzaji WA viwanja dodoma maeneo ya #iyumbu na #ihumwa
Viwanja vyote vimepimwa ✅

iyumbu
Maeneo yapo barabara ya kwenda udom
1 km kutok main road
Bei 12,000/= kwa sqm
Malipo mpaka miezi 6
Viwanja vinaanzia 420sqm na kuendelea...

ihumwa
Maeneo yapo opposite na jeshini
1km kutoka main road
11km kutoka dodoma town
Bei 12, 000/= kwa sqm
Malipo ni mpaka miezi 3
Viwanja vinaanzia 600sqm na kuendelea..

Iipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana
Kamilisha upate hati yako✅
Kuona site na kujiridhisha kwanza ni haki yako, na kwetu ni kila siku bila gharama yeyote
karibu sana

Kwa mawasiliano zaidi
0688753191

#propertyinvestors #pic #milikikiwanjadodoma #viwanjabeipoa #lipiakidogokidogo #iyumbu #ihumwa #viwanjabeinafuumnoo #milikiardhiyako

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data