Viwanja Dodoma Bei Nafuu Mnoo, Miradi Na Bei Zake

Viwanja Dodoma Bei Nafuu Mnoo, Miradi Na Bei Zake - Tanzania
  • Viwanja Dodoma Bei Nafuu Mnoo, Miradi Na Bei Zake - Tanzania

Transaction Typesell

Area500 m2

Description :

Property Investors (PIC) inautangazia umma juu ya mradi wake wa uuzaji wa viwanja mji mkuu #DODOMA
Miradi ipo maeneo ya #Chamwino #nala #chahwa #mtumba #msalato #iyumbu #ihumwa #miyuji #mkalamA
Viwanja vyote VIMEPIMWA ✅
Viwanja vinatambulika na halmashauri

Maeneo ya mradi
1. #Chamwino
>viwanja vipo 1km kutoka main road
>bei ni 6,000 kwa sqm

2. #Nala
>viwanja vipo 1km kutoka main road( singida road)
>14km kutoka dodoma town

3. #Chahwa
>Viwanja vipo 1km kutoka main road
>27km kutoka dodoma town
>Bei ni 6000/= kwa sqm

4. #Mtumba (mji wa kiserikali)
>Viwanja vipo 2km kutoka main road
>18km kutoka dodoma town
> Bei ni 10,000/= kwa sqm

5. #Msalato - ( karibu na airport mpya)
>Viwanja vipo 2km kutoka main road (arusha road)
>12km kutoka dodoma town
>Bei ni 10,000/= kwa sqm

6. #Iyumbu
>Viwanja vipo 1km kutoka main road (UDOM road)
>Bei ni 10,000/= kwa sqm

7. #Ihumwa - (opposite na jeshini)
>viwanja vipo 1km kutoka main road
>11km kutoka dodoma town
> Bei ni 12,000/= kwa sqm

8. #Miyuji
>viwanja vipo 1km kutoka arusha road
>6km kutoka dodoma town
>500m kutoka chuo cha mipango
>Bei ni 9000/=

9. #Mkalama - (karibu na ukumbi wa CCM)
>viwanja vipo 1km kutoka main road
>5km kutoka dodoma town
>bei ni 15,000/= kwa sqm

MALIPO
>lipa kidogo kidogo hadi miezi 6, bila riba wala dhamana✅
>kamilisha upate hati yako✅
>kuona site ni haki yako, kwetu ni kila siku na bila gharama yeyote✅

Kwa mawasiliano zaidi
0688753191

KARIBU SANA
#propertyinvestor #realestate #viwanjadodoma #pic #viwanjabeirahisi #milikiardhiyako #lipakidogokidogo #chamwino #nala #chahwa #iyumbu #miyuji #ihumwa #mkalama #msalato #mtumba #viwanjabejnafuumno

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data