VIWANJA CHEKA KIGAMBONI

VIWANJA CHEKA KIGAMBONI - Tanzania

Transaction Typesell

Area12000 m2

Description :

MRADI MPYA!!
KIGAMBONI - CHEKA.
Amani Gomvu.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 2km kutoka barabara ya lami.
-Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana kwa karibu.
-Neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi.
-Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.
-Bei ni 15,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo.
NJIA ZA MALIPO.
Mteja unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 6 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.


KARIBUNI SANA

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data