Transaction Typesell
Area433 m2
✓viwanja vipo 3 km kutoka cheka stand
malipo ni utaanza kulipa millioni moja kisha utamalizia iliyobaki kwa kulipa laki 3 kila mwezi.
viwanja ni vizuri na vinafaa kwa makazi na biashara.
✓ miundombinu ya umeme tayari imeshafika
vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia sqm 277 mpaka sqm 556
site visit ni kila siku
tuna miradi mingine maeneo ya kigamboni kama kisota , mbutu, chekeni mwasonga... pia tuna miradi maeneo ya madale mivumoni, bunju a... kibaha mkoa wa pwani tuna miradi maeneo ya vikawe, pangani, misugusugu, mwapinga na kwa dodoma tuna miradi maeneo ya ihumwa, chamwino, iyumbu, iyumbu, kitelela, nala, chahwa na itega.