Transaction Typesell
Area889 m2
⚫Ni bei ya punguzo huwezi pata kwingine.
⚫Cash ni 2,000 kwa square meter moja na kwa installment ni 2,500 kwa square meter moja.
⚫ Installment ya mpaka miezi 6, huku ukilipa laki mbili tu kila mwezi.
⚫Viwanja vinafaa kwa makazi na biashara.
⚫Viwanja hivi vipo umbali wa Kilometre 6 kutoka Vigwaza Mizani.
⚫Viwanja vimeshapimwa tayari na utapata hati.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali.
⚫Mradi huu upo karibu na bandari mpya inayojengwa.
⚫ Miundombinu ya barabara na umeme tayari imeshafika site.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha,Vikawe, Mapinga Bagamoyo, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Mbutu Beach Plot Kigamboni, Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Itega, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu West.
WAHI SASA OFA HII...KARIBU SANA