VISABABISHI/CHANZO CHA UGUMBA KWA WANAWAKE NA WANAUME

VISABABISHI/CHANZO CHA UGUMBA KWA WANAWAKE NA WANAUME - Tanzania
  • VISABABISHI/CHANZO CHA UGUMBA KWA WANAWAKE NA WANAUME - Tanzania
Description :

VISABABISHI VYA UGUMBA.…..?✍️....?✍️.....✍️?

Kuna sababu mbalimbali ambazo hupelekea ugumba kutokea kwa mwanaume au mwanamke.

WANAUME

Ugumba kwa wanaume hutokana na tatizo katika mbegu za kiume, manii kuwa kidogo, manii kushindwa kutembea, manii kuwa na umbo lisilo la kawaida au kuziba kwa mijira ya mbegu za kiume.

Tatizo kwenye mbegu za kiume linaweza kutokana na;

👉Uvutaji wa sigara.
👉Dawa za kulevya kama matumizi ya bangi kwa wingi,
👉 Mionzi (radiations).
👉Unywaji wa pombe.
👉Kemikali kama DDT, risasi (lead).
👉 Kufanya kazi mazingira yenye joto kali kama viwanda vya chuma.
👉 Kuziba kwa mirija ya mbegu za kiume kutokana na magonjwa ya zinaa.

WANAWAKE

Tatizo la ugumba husababishwa na sababu kuu mbili:

👉 Kuziba kwa mijrija ya kupitisha mayai
👉Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai isiokuwa na nguvu (lazy egg).

Mirija ya kupitisha mayai inaweza kuziba kutokana na;

👉Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) ambao unatokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa kama kisonono na klamidia.
👉Mirija ya mayai kujaa maji.
- Utoaji mimba usio salama (unsafe abortions).
👉Upasuaji maeneo ya kiunoni.
👉 Ugonjwa wa endometriosis.

Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi inaweza kutokana na;

👉Umri mkubwa wa mwanamke, hasa miaka 35 – 40 na kuendelea.
👉Uvutaji wa sigara.
👉Saratani ya Ovari.
👉 Mionzi (radiations).
👉Ugonjwa wa Polycystic ovarian disease (Ovarian Cyst).

Sababu nyingine za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa;

👉Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba.
👉Mabonge ya kizazi (uterine fibroids).
👉Kuziba kwa shingo ya uzazi.
👉Kulegea shingo ya uzazi.
👉 Kisukari.
👉 Matatizo ya tezi ya shingo. (hyperthyroidism)
👉Kufanya mazoezi ya kupitiliza (excessive exercising.

USHAURI NA TIBA.
Kwa kuwa visababishi vya Ugumba Ni Vingi , Unashauriwa kuonana na Daktari kwa ajiri ya vipimo na msaada wa matibabu. Pia tunatoa ushauri na Dawa za Asilia/Naturalceutical zinazoeza kukusaidia kushika Ujauzito Mara baada ya Vipimo.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data