Transaction Typesell
Area1313 m2
⚫Ni Viwanja vizuri Kwa makazi na biashara. ⚫Bei yetu ni nafuu yaani 25,000/SQM. ⚫Viwanja vipo km 4 kutoka barabara ya rami. ⚫Viwanja vimeshapimwa na utapata hati. ⚫Viwanja vipo km 1 kutoka mchanga wa pesa beach.
⚫Unaweza lipa cash au kwa installment. ⚫Kutembelea site ni kila siku.
⚫Miradi mingine ya viwanja ipo Vikawe, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vigwaza,Sofu Picha ya Ndege Kibaha, Kisota Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Mbutu Beach Plot Kigamboni, Cheka Kigamboni, Bunju B Mji mpya, Madale Mivumoni... Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Chihoni, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Nala Lugala, Msalato Airport...
⚫Ofisi zetu zipo Nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall... Karibu Sana