UVIMBE KWENYE OVARI

UVIMBE KWENYE OVARI - Tanzania
UVIMBE KWENYE OVARI - Tanzania
 • UVIMBE KWENYE OVARI - Tanzania
 • UVIMBE KWENYE OVARI - Tanzania
Description :

✍️ #UGONJWA_WA POLYCYSTIC_OVARIAN SYNDROME(#PCOS)
✨Ni Ugonjwa Wa Matatizo Ya Homoni Kwa Wanawake Ambao Wapo Katika Umri Wa Kuzaa(Miaka 14 hadi 44) Unaopelekea Mwanamke Kuwa Na Homoni Nyingi za Kiume.Shida ii Umpelekea Mwanamke Kuwa Na Tatizo La Mvurugiko Wa Homoni Na Ivyo Kupata Shida Ya Hedhi Kama Kuwa Na Mzunguko Mrefu,Kutoingia Hedhi Mda Mrefu,Hedhi Za Mabongemabonge Na Ata Kuwa Ngumu Kupata Ujauzito.
✨Mwanamke Ana Ovari Mbili(Kushoto Na Kulia) Maalumu Kwaajili Ya Kuzalisha Mayai Ya Uzazi,Katika Izo Ovari Kuna Seli Za Follicles(Mayai Ambayo Hayajakomaa) na Hukazwa Kila Mwezi Kutoa Yai La Kurutubishwa Na Mbegu Ya Kiume.Follicle Seli Zinatakiwa Kupasuka Baada Ya Kukomaa Ili Kutoa Yai Lirutubishwe Na Kitendo Iko Kikishindikana,Huwazijikusanya Na Kua Katika Kikonyo Cha Zabibu(Cyst) Na Kwakua Zinakua Nyingi Huitwa PolyCystic na Hivyo Huitwa Polycystic Syndrome(Mkusanyiko Wa Dalili Nyingi).Cyst Ni Neno Linalo Ashiria Kitu Chenye Uwazi Ambao Ndani Yake Unaweza Pata Usaha,Maji,Dama na Vingine.
✨PCOS inaathiri Ovari Za Mwanamke,Ambazo Huzalisha Homoni Za Mwanamke Za Progesterone Na Estrogen Ambazo Huendesha Mfumo wa Mzunguko wa Hedhi,Pia Ovari Huzalisha Kiwango Kidogo Cha Homoni Za Kiume Zinazoitwa Androgens.
✨Ovari Hutoa Yai Ili Lirutubishwe Na Mbegu Za Kiume,Kitendo Cha Kutoa Yai Kinaitwa #Ovulation, #Follicle Stimulating Hormone(FSH) ndio inayosabisha Yai Likomae Katika Ovari Na Baada Ya Hapo #Luteinizing Hormone(LT) Ndio Inayosaidia Yai Litoke Katika Ovari Kwenda Katika Mirija Kwa #Utungishwaji(Fertilization).
✨Unapokua Na Shida Ya PCOS Kitendo Cha Ovari Na Uzalishwaji Wa Mayai Kina Athiiriwa Na Hapa Mwanamke Anakua Na Dalili Kama

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data