Uvimbe katika uzazi

Uvimbe katika uzazi - Tanzania
  • Uvimbe katika uzazi - Tanzania
Description :

*UVIMBE KWENYE MAYAI YA MWANAMKE* ( *OVARIAN CYST)*
Uvimbe kwenye mayai ya ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanaozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke.
Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama *ovarian cyst.*

Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote ule na mara nyingi huonekana kwa wanawake walio katika umri wa kushika ujauzito.

Mayai ya mwanamke ni nini?
Kwa kawaida mwanamke anakuwa na mayai mawili katika mwili wake.Yai moja upande wa kulia na yai jingine upande wa kushoto kwake. Mayai haya hupatikana pembezoni mwa mfuko wa uzazi (uterus).Mayai haya ya mwanamke huanza kuzalisha mayai ya uzazi yanayojulikana kama ovum.
Mayai haya ya uzazi hukuwa ndani ya mayai ya mwanamke (ovary) kwa kuchochewa na baadhi ya homoni. Katikati ya mwezi, siku ya kumi na nne,masaa 24-36 baada ya kiwango cha kichocheo aina ya Luteinizing Hormone kuwa juu, mayai ya uzazi hutolewa katika kila ovary na hii ndio hujulikana kama *ovulation* . Mayai haya ya uzazi huishi kwa masaa machache hadi masaa 24 bila kurutubishwa na shahawa kutoka kwa mwanamume. Mabaki ya mfuko wa mayai ya uzazi yanayojulikana kama follicle ndani ya ovary, hugeuka na kuwa corpus luteum ambao huhusika na utoaji wa kichocheo aina ya _progesterone_ kwa wingi. Na kichocheo hiki cha progesterone ndio kinachosababisha mfuko wa uzazi kujiandaa kwa upachikwaji (implantation) wa yai lililorutubishwa kwa shahawa ndani ya mfuko wa uzazi kwa kuongeza unene kwenye kuta zake.Yai hili husafiri hadi kwenye mfuko wa uzazi kwa ajili ya kwenda kujipachika. Kama upachikwaji wa yai liliorutubishwa kwa shahawa (au kama yai la uzazi ambalo halijarutubishwa kwa shahawa) hautafanyika, basi ndani ya wiki mbili, corpus luteum huanza kusinyaa na kupotea yenyewe (involute)na kusababisha kushuka kwa kiwango cha vichocheo aina ya progesterone na estrogen.Kushuka kwa viwango vya vichocheo hivi ndio husababisha mfuko wa uzazi kuanza kutoa mabaki ya kuta zake pamoja na yai la uzazi na hii ndiyo pale mwanamke anatoka damu ukeni inayojulikana *kama hedhi* (menstruation).Unaweza ukajiuliza, ni kwa nini mwandishi ameanza na maelezo ya hedhi? Hapa nilitaka kuonyesha *umuhimu wa mayai ya uzazi kwa mwanamke pamoja na kazi yake.*

*Nini husababisha tatizo hili la uvimbe kwenye mayai ya mwanamke?*

Vihatarishi vya tatizo hili ni;

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data