USICHOKIJUA KUHUSU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME/UZAZI MWANAMKE NA UZITO MKUBWA/KITAMBI NA UNENE

USICHOKIJUA KUHUSU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME/UZAZI MWANAMKE NA UZITO MKUBWA/KITAMBI NA UNENE - Tanzania
  • USICHOKIJUA KUHUSU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME/UZAZI MWANAMKE NA UZITO MKUBWA/KITAMBI NA UNENE - Tanzania
Description :

✍️.....?✍️.....?✍️......?✍️.....?✍️...?
Sasa ufanyeje uweze kupunguza Unene ama Uzito?
Kumbuka Unene unaambatana na kuvuruga hormones kwa hiyo Kuna hormones zingine hasa Hizi appetite hormones "Ghrelin" Huwa zinaongezeka ,Mtu Mnene/mzito Hujikuta anapenda kula na vyakula vyao Huwa ni hivi hivi vyenye mafuta Mengi ama vinavyouweka Mwili katika hatari ya kuongezeka zaidi, Sasa mtu kama huyu anatakiwa kutibiwa kwanza Kuondoa ama kupunguza hii appetite hormone Ghrelin ambayo inamfanya mtu kupenda kula isivyo kawaida. Baada ya hapo Sasa Mwili ukisharudi Kawaida Mwenyewe utakua unajiongoza katika kula na hata nikikuambia tufanye diet utakuwa itakua Rahisi Sana Kwa kuwa tumeshusha kitu kinachokufanya upende kula Sana na hapa wengi wenu mmefanya diet imeshindikana unaanza inaishia njiani ama unafanya diet lakini haupungui ama unafanya diet lakini ndo kwanza unazidi kuongezeka kwa hiyo kwanza tushushe Hamu ya kula,baada ya hapo Upate utaratibu wa kula Vyakula vinavyofaa ,Milo mitatu Kwa siku yenye Mjumuiko wa Makundi yote mhimu ya chakula bila Kushinda njaa.

Jambo la Pili ni kwamba kutokana na Usugu unaojengeka katika ngazi ya cell kutokana na huu ulaji mbovu usiozingatia kanuni za Afya hadi kupelekea unene kupita kiasi ,Utalazimika kuondoa Usugu huu ili kupandisha hii hormone ya kiume testosterone Ili Sasa uweze kurudisha wako katika tendo la ndoa ,uume uwe na uwezo Wa kusimama Vizuri, upate Hamu ya tendo la ndoa , uwe na uwezo Wa kurudia tendo la ndoa pia ,uondoe Tatizo la kuwahi kufika kileleni na huu uchovu wa Mara Kwa Mara, kuondoa Tatizo la kuchelewa kumaliza ,tatizo mbegu chache, kuondoa Tatizo la uume kuwa mlegevu,na Hali ya kuingiza Ukeni Kwa kusukumiza pia Kwa upande wa Mwanamke atasaidika ikiwa Usugu huu katika ngazi ya cell utaondolea manake hedhi yake itakua Kwenye mpangilio,chance ya kushika ujauzito kuongezeka , Msongo wa Mawazo kupungua, kufurahia tendo la ndoa ,shida za Uvimbe na vimbe vimbe katika mayai , fungus Sugu ama PID huweza kuondoka , kupunguza Kasi ya mimba kuharibika.

Sasa Unaweza kupunguza hadi 10kg ndani ya week Moja Mpaka mbili ikiwa tuu utakuweka commitment ya Kuzingatia pia program na Usimamizi Kutoka kwangu ,Manaka unapata utaratibu wa kula na kunywa program ya Chakula kwa Mwanaume na Mwanamke , Msaada wa kisaikolojia, maelekezo ya mazoezi ambayo utaamua Kufanya ama lar Kuendana na mda atakaokuwa nao, pia kupata Usaidizi wa kuongeza uwezo Wa Katika Maandalizi kabla na wakati wa tendo la ndoa Kwa Wote Mme na Mke.

Faida utakazozipata Ikiwa Yote haya yatazingatiwa Kwa usahihi,Kwanza Mwanaume ataongeza kujiamini, Migogoro na migongano itapungua Kama si kuondoka kabisa ,upendo baina yenu wanandoa utarejea kwa maana Mme/mke ni Rahisi kuathirika kisaikolojia kutokana na changamoto hizi.

Pili changamoto za kiafya zinazoambatana na magonjwa ya lishe kuanzia tatizo la kisukari type2 diabetes, tatizo la saratani za Aina mbali mbalii hasa saratani ya tezi Dume ,Ini ,kongosho na utumbo mpana, Matatizo ya Moyo ikiwemo pressure ya kupanda, Matatizo ya miguno na joints ,Miguu kuwaka moto, kuchoma choma,kupata ganzi nk,

Tatu tunaondoa kabisa Tatizo la nguvu za kiume ama changamoto za Uzazi Mwanamke na Mnaendelea kufurahia tendo la ndoa Kama zamani.

Tunaoutaratibu mzuri wa program ya Chakula na dose zitakazokusaidia kupunguza Uzito na kupata faida zote hizo bila kuleta athari zozote Mwilini ,kabla utahitaji kuonana na daktari Pima Uzito wako ,Urefu wako, Pressure na Sukari.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data