UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE

UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE - Tanzania
  • UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE - Tanzania
Description :

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE* Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni na ung'arisha ngozi kwa njia ya Asili. *FEMINERGY CAPSULES* Imetengenezwa kiasili na kwa kiwango cha hali juu cha mbegu za zabibu ambazo hujulikana kuwa na kiwango kikubwa kinachopambana ba uzee kinachoitwa PROANTHOCY ANIDISM(OPC) *_Kazi ya feminergy_*
➡Huondoa makunyanzi na michirizi.
➡Huondoa makovu yaliyo achwa na chunusi.
➡Hung'arisha ngozi na kuondoa mabakaa yasiotakiwa.
➡Huifadhi unyevu wa ngozi.
➡Huzuia magonjwa yaletwayo na umri kama kansa, kisukari, Magonjwa ya moyo, Macho na Alzheimer's (Watu wazima kupoteza kumbukumbu) Huifanya Organi zako kufanya kazi bila kuzeeka mapema. *_Faida za feminergy_* °Husaidia mishipa ya damu itanuke na kusinya hivyo kuiwezesha presha ya damu.
°Husaidia madhara ya mionzi ya jua, simu, Tv na mionzi mingine mwilini mwako.

°Husaidia kupambana na Allegy, Athma na mwili kukosa Nguvu. **Kwa nini uchague feminergy**
--->Ni ya Asili.
Imetengenezwa na mbegu za zabibu. **Ina matokeo Makubwa**
-->Ina 95% ya kiini cha PROANTHOCYADISM(OPC) Ambacho ndicho hupambana na uzee na kuchoka kwa ngozi. **Ni salama***
>>Haina madhara kwa mtumiaji. **Nani haswa anatakiwa kutumia feminegy**
>>Wanawake watu wazima, umri wakati na mabinti.
>>Wanawake wenye makunyanzi na wasiotaka makunyanzi.
>>Wanawake wenye mabaka ya chunusi na wasiotaka mabaka.
>>Wanawake wasiotaka kuzeeka haraka.
>>Watumiaji wa muda mrefu wa kompyuta, simu na TV.

>>Mtu mwenye ugonjwa wa moyo na damu katika ubongo.

>>Watu waliopigwa mionzi ya Chemotherapy.

>>Mtu anayechoka haraka na matatizo ya Allegy.

>>Mwenye matatizo ya kizunguzungu na kutojisikia vyema.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data