UNAWEZAJE KUPUNGUZA MWILI BILA KUTOKUFANYA MAZOEZI SOMA HII

UNAWEZAJE KUPUNGUZA MWILI BILA KUTOKUFANYA MAZOEZI SOMA HII - Tanzania

 • UNAWEZAJE KUPUNGUZA MWILI BILA KUTOKUFANYA MAZOEZI SOMA HII - Tanzania

Description :

Unene wa kupindukia (kwa Kiingereza "obesity"; jina la kisayansi kwa Kilatini ni "adipositas") ni hali mbaya ambapo mafuta ya ziada ya mwili hulimbikizana hadi kiwango kinachoweza kuathiri afya ya mwili ikipelekea kupungua kwa matarajio ya kuishi kutokana na uwezekano wa kuongezeka kwa maradhi.

Shida zinazojitokeza kwa mtu mnene/kitambi au manyama uzembe nikama zifuatazo:-

-Kupumua kwa shida.
-Kutokwa jasho kwingi.
-Kukoroma ukiwa umelala.
-Kushindwa kufanya shughuli za nguvu.
-Kujisikia mchovu mara kwa mara.
-Maumivu ya joint na mgongo.
-Kushindwa kujiamini na kutojikubali.
-Kujihisi umetengwa.
-Huweza pia kusababisha mfadhaiko.

Magonjwa hatarishi yanayoweza kusababishwa na kuwa na unene uliopitiliza ni kama yafuatayo:-
-Kisukari.
-High blood pressure.
-High cholestrol (lehemu nyingi)
-Asthma.
-Kiharusi (Stroke).
-Ugonjwa wa mishipa ya moyo (Coronary heart disease).
-Aina tofauti za kansa kama vile kansa ya utumbo mpana, kansa ya matiti na kansa ya mfuko wa mimba.
-Mawe kwenye mfuko wa nyongo (gallstones).
-Ugonjwa wa maungio ya MIFUPA wa Osteoarthiritis.
-Magonjwa ya ini.
-Magonjwa ya Figo.
-Kisukari wakati wa ujauzito (gestational diabetes).
-Presha ya mwanamke wakati wa ujauzito (Pre-eclampsia).

Utaondoa vipi tatizo hili la unene. Hapa ndipo Burnslim (Body Under Right Nutrition) 90 program inapokuja ambayo hii ni bidhaa ya asili ambayo imetengenezwa special kwa ajili ya kupunguza mafuta na nyama uzembe katika mwili na ni program ambayo anaweza fanya mtu yeyote kwa kuwa ni rahisi. Wakati wa program unshauriwa kufanya mazoezi rahisi ya dakika 30 kila siku kama kutembea kwa haraka, kuto kula vyakula vya mafuta wakati wa program, kupunguza vyakula vya wanga wakati wa program.

Faida ya Burnslim

1. Inapunguza kilo kwakuondoa mafuta mwilini hasa maeneo ya tumboni.

2. Inaondoa sumu mwilini.

3. Inapandisha kinga ya mwili.

4. Wenye shida ya constipation au kukosa choo/kupata choo kigumu, hizi zinakurudisha unapata choo kilaini.

5. Zinaondoa bacteria wabaya katika mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula/Utumbo.

6. Inapunguza appetite au hamu ya kula ovyo ovyo.

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data