UKE MKAVU!!!

UKE MKAVU!!! - Tanzania
UKE MKAVU!!! - Tanzania
  • UKE MKAVU!!! - Tanzania
  • UKE MKAVU!!! - Tanzania
Description :

UKE MKAVU*
Uke mkavu ni tatizo linalosababishwa na upungufu wa hormone ya estrogen ambayo hupelekea misuli kusinyaa na kukosa vilainishi.
Estrogen hufanya tishu za uke kuwa zenye afya na kutengeneza unyevu wa kawaida ukeni.

*SABABU ZA UKE MKAVU*
Kukauka kwa uke kwenye umri wa miaka 45+ ni ishara ya ukomo wa hedhi lakini chini ya miaka 45 ni tatizo la kiafya ambalo hupelekewa na sababu zifuatazo,
- upungufu wa hormone
- utumiaji wa sabuni za antibiotics kuoshea uke.
- utumiaji wa mafuta yenye kemikali (corxmetric)
- magonjwa ya zinaa.
- fangasi wanao shambulia uke.
- msongo wa mawazo.
- magonjwa ya kudumu kama kisukali.
- vyakula.
- mabadiliko ya hali ya hewa.
- unywaji wa pombe kali znazoenda kuvuruga mpangilio wa hormone.

*DALILI ZA UKE MKAVU.*
- maumivu wakati wa tendo la ndoa.
- kupungua hamu ya tendo la ndoa.
- maumivu ya mifupa na viungo.
- kuwa na ngozi kavu.

Madhara yake ni mengi ikiwemo,
- kupata michbuko wakati wa tendo
- maumivu wakati wa tendo la ndoa.
- kushambuliwa na bacteria.
- kushambuliwa na fangasi.
- UTI inayojirudia mara kwa mara.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data