UJUE UGONJWA WA P.I.D

UJUE UGONJWA WA P.I.D - Tanzania
UJUE UGONJWA WA P.I.D - Tanzania
  • UJUE UGONJWA WA P.I.D - Tanzania
  • UJUE UGONJWA WA P.I.D - Tanzania
Description :

UJUE UGONJWA WA P.I.D

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana kama cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu kama salpingitis.

PID husababishwa na nini?

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke huambukizwaje PID?

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

✅Kufanya ngono isiyo salama.

✅Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)

✅Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

✅Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango.

✅Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

Dalili za PID ni zipi?

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni :-

✅Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

✅Kupata maumivu ya mgongo.

✅Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

✅Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

✅Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✅Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.

✅Kupata homa.

✅Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika.

⏩Ugonjwa huu wa Pelvic Inflammatory Diseases P.I.D unakuwa kwa Kasi kubwa na baadhi ya wanawake hupata madhara makubwa baadae hususani UGUMBA kutokana na kupuuzia matibabu.
Ikiwa unaona dalili tajwa hapo juu jitahidi kuanza matibabu taratibu kabla haujapata madhara ambayo yanaweza kugharimu Maisha yako kwa ujumla.
Kwa Ushauri na Tiba Wasiliana Nasi
BFSuma Tanzania

Ofisi zetu zipo mikoa
Arusha
Dar Es Salaam
Dodoma
Mbeya
Mwanza
Kigoma nk

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data