Ujue Ugonjwa Wa Bawasili Na Matibabu Yake

Ujue Ugonjwa Wa Bawasili Na Matibabu Yake  - Tanzania
  • Ujue Ugonjwa Wa Bawasili Na Matibabu Yake  - Tanzania
Description :

Ujue ugonjwa wa bawasili, madhara yake na tiba.
Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

a.kuna aina mbili za bawasili (hemorrhoids)
1.ya nje ya puru- aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo thrombosed hemorrhoids kitaalamu.
2.ndani ya puru/tupu/duburi-aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili.
aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
i.Bawasili kutotoka katika mahali pake(iliyosimama)
ii.Bawasili inayotoka wakati wa haja kubwa kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia
iii.Bawasili inayotoka wakati wa haja kubwa na hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
iv.bawasili inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

b.nini kinasababisha bawasili ?
miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-tatizo sugu la kuharisha
-kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-uzito kupita kiasi(obersity)
-ngono ya njia ya haja kubwa(anal sex)
-umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.

c.dalili za bawasili
-kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia chematozechezia
-maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

d.athari za bawasili
-upungufu wa damu mwilini(anemia)
-stragulated hemorrhoid
-kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-kuathirika kisaikolojia
-kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-kupungukiwa nguvu za kiume

e.Jinsi ya kuzuia bawasili

-kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi
-kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
-punguza kukaa kwa muda mrefu chooni bila kutoa choo.

kwa maelezo zaidi na suluhisho wasiliana nasi kwa simu call/whatsapp

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data