Ugonjwa wa PID unatibika

Ugonjwa wa PID unatibika - Tanzania
Ugonjwa wa PID unatibika - Tanzania
 • Ugonjwa wa PID unatibika - Tanzania
 • Ugonjwa wa PID unatibika - Tanzania
Description :

UGONJWA WA PID NI NINI??
~ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

VYANZO NA VIHATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Vimelea aina ya NEISSERIA GONORHOEAE pamoja na CHLAMYDIA TRACHOMATIS ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa PID ingawaje kuna aina kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu kusababisha ugonjwa wa PID
~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID zipo njia KADHAA HATARISHI KUSABABISHA MAAMBUKIZI HAYA NAZO NI ÷

*kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango
*Kufanya ngono isiyo salama
*Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua au mimba kuharibika
*Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
*Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia isiyo salama

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data