UGONJWA WA BAWASIRI Na JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA HUU

UGONJWA WA BAWASIRI  Na JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA HUU - Tanzania
  • UGONJWA WA BAWASIRI  Na JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA HUU - Tanzania
Description :

𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗔𝗨 𝗞𝗨𝗢𝗧𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 𝗦𝗘𝗛𝗘𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗘𝗣𝗨𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗛𝗨𝗨WATU WENGI wanasumbuliwa na TATIZO hili ambalo huwafanya kuwa na UOGA na AIBU wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospitali kupata TIBA. 𝗝𝗘, 𝗨𝗡𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜/𝗛𝗘𝗠𝗢𝗥𝗥𝗛𝗢𝗜𝗗𝗦 𝗡𝗜 𝗡𝗜𝗡𝗜..?Ni UGONJWA unaotokana na kuathirika kwa MISHIPA ya DAMU ya NDANI na NJE ya sehemu ya HAJA KUBWA na wakati mwingine MISHIPA hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja DAMU kwenye njia ya HAJA KUBWA na kukusababishia kutoka KINYAMA au UVIMBE. 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗵𝘂𝘂 𝘄𝗮 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗸𝘄𝗮 𝗹𝘂𝗴𝗵𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺𝘂 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘂𝗶𝘁𝗮 𝗛𝗘𝗠𝗢𝗥𝗥𝗛𝗢𝗜𝗗𝗦 𝗶𝗹𝗵𝗮𝗹𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗹𝘂𝗴𝗵𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗶𝗻𝗴𝗲𝗿𝗲𝘇𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝗶𝗸𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗣𝗜𝗟𝗘𝗦TATIZO hili huwaathiri WATU WOTE .Lakini ZAIDI huwaathiri WATU WAZIMA kuliko WATOTO, na inakadiriwa kuwa karibu ASILIMIA 50% ya WATU WOTE wako katika HATARI ya kupata tatizo hili katika UMRI wa MIAKA 30_50 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜;Kuna aina MBILI za BAWASIRI (𝗔) 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 ;Aina hii ya BAWASIRI hutokea NDANI ya MFEREJI wa HAJA KUBWA.Huwa haiambatani na MAUMIVU, na WENGI huwa HAWAJITAMBUI kuwa Wana TATIZO hili. AINA hii hutokana na KUVIMBA na KUHARIBIKA kwa MSHIPA wa ARTERY za NDANI ya MFEREJI wa HAJA KUBWA . AINA hii imegawanyika katika MADARAJA manne (1)DARAJA LA KWANZA Hii ni BAWASIRI ambayo HAITOKI mahali pale PANAPOHUSIKA . (2)DARAJA LA PILI Hii hutokea wakati wa HAJA na KURUDI yenyewe NDANI baada ya KUJISAIDIA (3)DARAJA LA TATU Hii hutokea wakati wa HAJA KUBWA na MTU kuweza kurudisha NDANI yeye MWENYEWE (4)DARAJA LA NNE Hii ni BAWASIRI inayotoka na huwa NGUMU kurudi (𝗕)𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗡𝗝𝗘 ;Aina hii ya BAWASIRI hutokea katika ENEO la MWISHO kabisa la MFEREJI wa HAJA KUBWA na huambatana na MAUMIVU makali na KUWASHWA kwa NGOZI katika ENEO la TUNDU . Pia husababisha MISHIPA ya DAMU (vena) kupasuka na DAMU kuganda na kusababisha aina ya BAWASIRI iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢-MATATIZO YA MFUMO WA UMENG'ENYAJI CHAKULA-UJAUZITO-KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE -KUHARISHA KWA MUDA MREFU -TATIZO LA KUTOPATA CHOO KIGUMU-MATATIZO YA UMRI -KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU -UZITO KUPITA KIASI -MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜.- NGOZI kuwasha katika eneo la TUNDU la HAJA KUBWA -kupata MAUMIVU MAKALI wakati wa KUJISAIDIA -kutokea UVIMBE katika eneo la TUNDU la HAJA kubwa -Kujitokeza kwa KINYAMA katika eneo la TUNDU . - KINYESI kuwa na DAMU na KUNUKA harufu MBAYA sana 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗘𝗣𝗨𝗞𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜.MATIBABU ya BAWASIRI hutegemea na aina ya BAWASIRI . Lakini TIBA iliyozoeleka ni KUKATWA KINYAMA na kuendelea na LISHE ya CHAKULA . Hata hivyo TIBA hii si NZURI kwasababu huwa HAITIBU CHANZO cha TATIZO . Hivyo huwa rahisi kujirudia. TIBA NZURI ni kufanya MAAMUZI ya kutumia BIDHAA ZETU. Kwa jinsi NITAKAVYOKUPANGIA na KUKUONGOZA kupata MATOKEO MAZURI ni LAZIMA hadi KUPONA kabisa na KUONDOKANA na CHANGAMOTO hii. 𝗦𝗶𝘀𝗶 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗧𝗜𝗕𝗨 𝘃𝘆𝗮𝗻𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝗸𝘂𝘀𝗮𝗯𝗮𝗯𝗶𝘀𝗵𝗶𝗮 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗻𝗱𝗶𝗼 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔Pamoja na hayo BAWASIRI ni UGONJWA unaoweza KUEPUKIKA kwa KUZINGATIA KULA MBOGAMUGONJWA WA BAI - Kupata UPUNGUFU wa DAMU (anemia)utokuweza kuhimili CHOOdoa HAMU ya TENDO la NDOA kwa WANAWAKE - Kuathirika kisaikolojia - Kukosa moral ya kufanya kazi kutokana na MAUMIVU MAKALI ..!!𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗡𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗔𝗨 𝗡𝗗𝗨𝗚𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗔𝗡𝗔𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗟𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗟𝗔 𝗕𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔SI 𝗜'𝗹𝗹 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗝𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗡𝗗𝗢𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗣𝗔𝗦𝗜𝗣𝗢 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗪𝗔 . Karibu Kwa ushauri na matibabu

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data